WAZIRI WA NISHATI DKT MEDARD KALEMANI AKIWA KATIKA MRADI WA UMEME WA MAKAMBAKO SONGEA NA HAPA NI KWENYE KITUO KIKUU CHA KUPOOZEA UMEME HUO MAKAMBAKO AKIWA AMEONGOZANA NA MKUU WA MKOA WA NJOMBE CHRISTOPHA OLE SENDEKA PAMOJA NA WAKANDARASI WAKATI WA UKAGUZI .
MKUU WA MKOA WA NJOMBE CHRISTOPHA OLE SENDEKA AKIMUONESHA MAENEO WAZIRI WA NISHATI AKIWA NJE YA OFISI YA MKUU WA MKOA NJOMBE.
MENEJA WA TANESCO EMMANUEL KWACHEWA AKIWA NA MTALAAMU TOKA MAKAO MAKUU OFISI YA TANESCO WAKIWASILI OFISI YA MKUU WA MKOA HAPA WANATETA JAMBO.
WAZIRI HUYO DKT KALEMANI AKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA NJOMBE
MTALAAMU WA UMEME AKITOLEA UFAFANUZI WA KAZI INAYOENDELEA MAKAMBAKO NJOMBE
HAPA WANAKAGUA MRADI HUO NA HAPA WAZIRI DKT KALEMANI ANA PATA MAELEZO TOKA KWA WAKANDARASI
DKT KALEMANI AMESEMA HATAKI KUONA NGUZO ZIMELALA HIVI IFIKAPO IJUMAA DECEMBA 22 MWAKA NGUZO HIZI ZIWE ZIMESIMAMISHWA NA KUFUNGWA UMEMME NA KUINGIZWA KWA WATEJA WAKE.
NJOMBE
Waziri Wa Nishati Dkt Medard Kalemani Ameagiza Mkandarasi Anayetekeleza Mradi Wa Umeme Wa Makambako Songea Katika Kituo Cha Makambako Kuhikikisha Anakamilisha Mradi Huo Kwa Wakati Na Ifikapo 30 Augost Mradi Huo Uwe Umekamilika.
Dkt Kalemani Amesema Hayo Kufuatia Mkandarasi Kutekeleza Mradi Huo Kwa Kusuasua Kinyume Na Matarajio Ya Serikali Ambayo Yalimtaka Kukamilisha Mwezi June Ambapo Ametaka Mkandarasi Huyo Kurejesha Watumishi Wote Kazini Ambao Hajafanikiwa Kuwakuta Alipotembelea.
Dkt Kalemani Amemuagiza Meneja Wa Tanesco Mkoa Wa Njombe Mhandisi Emmanuel Kachewa Kufuatilia Na Kupata Idadi Ya Wafanyakazi Wanaofanyia Kwenye Kituo Kikuu Cha Mradi Wa Umeme Wa Makambako Songea Kilichopo Makambako Ili Kujiridhisha Kama Wapo Sabini Na Nne Kama Maelezo Yake Mkandarasi Wa Eneo Hilo.
Kuhusu Mradi Wa Umeme Wa REA Unaotekelezwa Katika Kijiji Cha Nyambogo Kata Ya Utengule Dkt Kalemani Ameagiza Mradi Huo Kuwa Umekamilika Ifikapo Decemba 22 Mwaka Huu Mkandarasi Huyo Awe Amekamilisha Kusimamisha Nguzo Na Kuwaingizia Wateja Umeme.
Kwa Upande Wake Mkuu Wa Mkoa Wa Njombe Christopha Ole Sendeka Amemuhakikishia Waziri Wa Nishati Kwamba Tarifa Zote Za Utekelezaji Wa Mradi Huo Zitamufikia Kama Alivyoagiza Na Kusema Siku Ya Tarehe 22 Mwezi Huu Ili Kujiridhisha Kama Mkandarasi Amekamilisha Na Kumtumia Tarifa Waziri Kuhusiana Na Utekelezaji Wa Mradi Huo.
Aidha Ole Sendeka Pia Amezungumzia Swala La Wakandarasi Hao Kuto Wapatia Mikataba Wafanyakazi Wao Kwamba Atahakikisha Anafuatilia Wakandarasi Wote Wanaotekeleza Mradi Huo Kama Wamepewa Mikataba Na Kuagiza Taasisi Zinazosimamia Maswala Ya Ajira Na Kazi Ili Wachukue Hatua Dhidi Ya Tatizo Hilo.
Hivi karibuni Mbunge Wa Jimbo La Lupembe Joramu Hongoli Aliagiza kusainiwa Mikataba Ya Wafanyakazi Ndani Ya Wiki Moja Katika Mradi Wa Umeme Wa Makambako Songea Baada Ya Kupokea Malalamiko Toka Kwa Wafanya Kazi Wa Kampuni Hiyo.
No comments:
Post a Comment