Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Sunday, October 13, 2013

AJALI MBAYA IMETOKEA LEO MAJIRA YA SAA KUMI NA MBILI JIONI ENEO LA TFA NJOMBE MJINI
























MASHUHUDA WA AJALI HIYO WAKIENDELEA KUJIULIZA JUU YA KUTOKEA KWA AJALI HIYO AMBAYO IMESABABISHWA NA KILE KILICHODAIWA NI KUKATIKA KWA BREKI ZA GARI HILO KUANZIA ENEO LA CHAUGINGI MPAKA KUSABABISHA AJALI HILO NA HAKUJA ALIYEPOTEZA MAISHA

Watu watatu wamenusurika kifo baada ya ajali ya gari namba T323 AQE kwenda kuligonga gari kubwa lenye namba za usajili T167 AKB aina ya Semi traler lililokuwa likikatisha barabara  katika eneo la TFA.

Tukio hilo limetokea jana majira ya saa kumi na mbili jioni katika eneo la TFA na kusababisha majeruhi wawili ambao walikuwa ni waendesha pikipiki walikuwa kando ya barabara hiyo ambapo walikimbizwa katika hospitali ya Kibena kwa matibabu zaidi.
Wakizungumza  waliokuwa ndani ya Gari hiyo aina ya tax ambae jina lake halikufahamika mapema amesema kuwa gari hilo aina ya ntax lilikuwa likitokea chaugingi kuelekea Kibena ambapo tukio limetokana na breki za gari hilo kukatika  kuanzia chaugingi hali iliyopelekea kusababisha ajali hiyo huku wamiliki wa magari hayo majina yao yakishindwa kufahamika mara moja.

No comments:

Post a Comment