Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, May 11, 2013

BELE 9 AKIWA SABASABA MJINI NJOMBE LEO AKIWA NA WASANII WA MZIKI WA KIZAZI KIPYA.



 
BELLE 9 AKIWA UWAJA WA SABASABA KWAAJILI YA KUONESHA SHOW KWA WAPENZI WAKE .
 
 YANG D NDANI YA UWANJA WA SABASABA


YANG D AKIONESHA BURUDANI NDANI YA UWANJA WA SABASABA.




Wasanii hao wameletwa na kampuni ya pepsi wakitangaza biashara yao ya vinywaji mjini Njombe ambapo mamia ya wakazi wa Njombe walikusanyika na kujipatia zawadi mbalimbali kwa kupatiwa mashindanisho ya wazima na watoto katika uwanja wa sabasaba.


No comments:

Post a Comment