Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu ,Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira Na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama wakati akiwasili katika ofisi za mkoa wa Njombe
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu ,Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira Na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama anasalimiana na viongozi wa mkoa kwa kumpokea
wanaingia ofisi ya mkuu wa mkoa njombe
katibu tawala mkoa wa njomb e Jackson Saitabahu akisoma taarifa
mkurugenzi wa halmashauri ya mji njombe Iluminata mWenda akisikiliza kwa umakini
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu ,Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira Na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama Akizungumza akiwa Katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa njombe
Mkuu wa Mkoa Wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi
Mkuu Wilaya Ya Wanging'ombe Asunda Msama
picha ya pamoja na wabunge na viongozi wengine
hawa ndiyo wanakikundi mojawapo
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu ,Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira Na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama Akiongea Machache Na Vikundi Vya Wajasiliamali
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu ,Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira Na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama Ameziagiza Halmashauri Zote Nchini Kuanzisha Sacos Maalumu Kwa Vijana Katika Wilaya Zao Ili Kuviwezesha Vikundi Vya Vijana Wajasiliamali Kupata Mikopo Na Kuinua Uchumi Wao.
Akizungumza Na Wanavikundi Mbalimbali Vya Wajasiliamali ikiwemo Vikoba,Bodaboda,Watengenezaji Tofari Na Walemavu Waziri Huyo Jenista Mhagama Amesema Changamoto Iliyopo Katika Saccos Ni Kuwepo Kwa Mikopo Isiyo Rafiki Kutokana Na Riba Kuwa Kubwa Katika Taasisi Za Kifedha Zikiwemo Benki.
Waziri Huyo Amesema Kutokana Na Riba Kuwa Kubwa Serikali Imeanzisha Mipango Mbalimbali Ya Kuwafanya Vijana Wanufaike Ikiwemo Kuanzisha Mfuko Wa Maendeleo Ya Vijana Nakuta Wabunge Kwenda Kutathimini Maendeleo Ya Saccos Za Wananchi Wote Zilizoanzishwa Kwenye Maeneo Yao Na Kuanzisha Saccos Maalumu Kwaajili Ya Vijana.
Katika Agizo Lake La Pili Kwa Halmashauri Za Wilaya Hapa Nchini Waziri Huyo Amesema Zinatakiwa Kujiandaa Kukuza Uchumi Katika Maeneo Yao Kupitia Vikundi Vya Vijana Huku Swala La Walemavu Akiagiza Kila Kikao Vikao Vya Halmashauri Kushirikisha Makundi Ya Watu Wenye Ulemavu Na Watafsiri Wake.
Mkuu Wa Mkoa Wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi Akasimama Na Kuagiza Halmashauri Zote Za Mkoa Wa Njombe Kuhakikisha Zinapeleka Taarifa Ya Uundwaji Na Ukamilishaji Wa Miundombinu Yote Ya Vijana,Wanawake Na Saccos Ifikapo Jumanne Ya Pasaka Vingine Hatua Zitachukuliwa Kwa Halmashauri Zitakazoshindwa Kutekeleza Agizo Hilo.
Baadhi Ya Vijana Na Wanavikundi Mbalimbali Waliohudhuria Kwenye Mkutano Huo Wameshukurua Kwa Jitihada Zinazofanywa Na Serikali Na Kuomba Utekelezaji Na Ufuatiliaji Katika Kutoa Fedha Ili Vikundi Vyote Vifanikiwe Kupewa Mikopo Hiyo Pasipo Kupewa Vikundi Vichache.
No comments:
Post a Comment