Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, March 3, 2016

KITENGO CHA MALARIA ZANZIBAR WAANZA TENA ZOEZI LA KUPIGA DAWA MAJUMBANI NA KUTOA VYANDARUA VIPYA

ZN1
Msaidizi Meneja kitengo cha kumaliza Malaria Zanzibar Mwinyi Issa Mselem akifungua akifungua Mkutano wa wandishi wa Habari kuhusu zoezi la upigaji dawa majumbani na ugawaji vyandarua vipya katika wilaya zote za Zanzibar  utakaoanza tarehe 16 mwezi  huu.
ZN2
Afisa Afya kitengo cha Malaria Zanzibar Mwinyi Issa Khamisi akielezea historia ya ugawaji wa vyandarua kwa wandishi wa habari katika Mkutano uliofanyika Ofisi ya malaria Manakwerekwe Zanzibar.
ZN3
Afisa Afya kitengo cha Malaria Zanzibar Mwinyi Issa Khamisi akielezea historia ya ugawaji wa vyandarua kwa wandishi wa habari katika Mkutano uliofanyika Ofisi ya malaria Manakwerekwe Zanzibar.
ZN4
Mratibu wa upigaji dawa majumbani kutoka shirika la ABT Zanzibar Abdallah Rashid Salum akitoa elemu juu ya upikaji dawa majumbani. 
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment