HAWA NI MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE WAKIWA KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA NJOMBE
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE PAUL MALALA AKITOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA AGENDA ZA MKUTANO ULIOPITA.
KAIMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE SHAIBU MASASI AKIONGEA NA MADIWANI NA WATUMISHI WA HALMASHAURI
HAWA NI WAKUU WA IDARA WA HALMASHAURI YA WILAYA WAKISIKILIZA NASAHA ZA KAMANDA WA TAKUKURU MKOA WA NJOMBE KUHUSIANA NA MAANA YA RUSHWA NA NAMNA HAYATI NYERERE ALIVYOPINGANA NA KUZUIA VITENDO VYA RUSHWA ENZI ZA UHAI WAKE NA JINZI ASIVYOPENDA KUJILIMBIKIZIA MALI WAKATI AKIWA RAIS. HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDEEEEEE
No comments:
Post a Comment