| Hapa baada ya lori hilo kuvutwa pembeni |
| Hivi ndivyo lori hilo lilivyokuwa likiendelea kuwaka moto |
| Lori lililokuwa limebeba rami likiteketea kwa moto eneo la hifadhi ya Mikumi leo na kupelekea abiria kukwama kuendelea na safari |
| Moto ukiendelea kuwaka barabarani Picha zote I.Godwin na Joys Njoliga wa wanahabari Tz |
No comments:
Post a Comment