NaibuWaziriwaMaendeleoyaJamii, JinsianaWatoto, Mhe. Dkt.
PindiChana(Mb.), amefanyaziarakatikaChuo cha Maendeleo yaWananchiArnautoglu – Ilala, Dar es
salaam, kwalengo la kukaguamaendeleoyautoajiwamafunzokwawananchi.
Chuo cha MaendeleoyaWananchiArnautogluhutoamafunzoyamuda
mrefu, muda mfupi na mafunzo nje ya chuo, ambayo yote yamelenga katika kutoa
stadi na maarifa mbalimbali yanayowawezesha washiriki kupata ujuzi ili waweze
kujiajiri wenyewe au kuajiriwa katika Taasisi mbalimbali kwa lengo la kuzalisha
mali na hivyo kujiongezea kipato na kupunguza umaskini.
Kwaupandewamafunzo ya muda mrefu asilimia kubwa ya Wanafunzi
wanaojiunga na Chuo hiki ni watu wenye ulemavu, wengi wao wakiwa na ulemavu wa
akili.
NaibuWaziriwaMaendeleoyaJamii,
JinsianaWatoto, Mhe. Dkt. PindiChana(Mb.)akiwakatikapichayapamojanawatumishinauongoziwawanafunziwa
Chuo chaMaendeleoyaWananchiArnautoglu, Ilala – Dar es salaam, wakatialipofanyaziaraChuonihapoleoOktoba
28, 2014.
NaibuWaziriwaMaendeleoyaJamii,
JinsianaWatoto, Mhe. Dkt. PindiChana(Mb.)akiongeanawatumishiwaChuo chaMaendeleoyaWananchiArnautoglu
( hawapopichani), wakatialipofanyaziaraChuonihapo, leoOktoba 28, 2014.KushotoniBwana
Stephen Saro, AfisaElimuMkuukutokaWizarayaMaendeleoyaJamii, JinsianaWatotonaKulianiMkuuwa
Chuo cha MaendeleoyaWananchiArnautoglu, BibiPulcheriaNdamugoba.
NaibuWaziriwaMaendeleoyaJamii,
JinsianaWatoto, Mhe. Dkt. PindiChana(Mb.)akikaguamazingirayautoajiwamafunzokatikamadarasayaChuo
cha MaendeleoyaWananchiArnautoglu, ikiwanipamojanakuhojiananawashirikiwamafunzo
(hawapopichani), wakatialipofanyaziarakatika Chuo cha
MaendeleoyaWananchiArnautoglu - Ilala, Dar es salaam, leoOktoba 28, 2014.KulianiBwana
Stephen Saro, AfisaElimuMkuukutokaWizarayaMaendeleoyaJamii, JinsianaWatotonaKushotoniMkuuwa
Chuo cha MaendeleoyaWananchiArnautoglu, BibiPulcheriaNdamugoba.
NaibuWaziriwaMaendeleoyaJamii,
JinsianaWatoto, Mhe. Dkt. PindiChana(Mb.)akiangaliamafunzokwavitendoyaliyokuwayakitolewakwawashirikiwadarasala
Uashi, katikaChuo cha MaendeleoyaWananchiArnautoglu- Ilala, Dar es salaam,
leoOktoba 28, 2014.
Mkuuwa
Chuo cha MaendeleoyaWananchiArnautoglu, BibiPulcheriaNdamugobaakitoaufafanuzikuhusueneo
la chuokwaNaibuWaziriwaMaendeleoyaJamii, JinsianaWatoto, Mhe. Dkt.
PindiChana(Mb.)wakatialipofanyaziara katikaChuo cha MaendeleoyaWananchiArnautoglu-
Ilala, Dar es salaam, leoOktoba 28, 2014.
NaibuWaziriwaMaendeleoyaJamii,
JinsianaWatoto, Mhe. Dkt. PindiChana(Mb.)akisisitizajambo,
wakatiwaalipokuwaakikaguamaeneoyaChuo cha MaendeleoyaWananchiArnautoglu- Ilala,
Dar es salaam, leoOktoba 28, 2014.
No comments:
Post a Comment