Wednesday, October 16, 2013
MKUU WA MKOA WA NJOMBE CAPTAIN MSATAAFU ASERI MSANGI ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO KATIKA UWANJA WA SABASABA JANA MKOANI NJOMBE
KISANGANI NI WATAALAMU WA KUTENGENEZA MAJIKO YA KISASA MJINI NJOMBE NAO WAPO KWENYE MAONESHO HAYO UWANJA WA SABASABA
PIA MKUU WA MKOA HUYO ALISISITIZA KILIMO CHA MATUNDA KWA WAKAZI WA MKOA WA NJOMBE NA WALIOHUDHURIA KWENYE MAONESHO HAYO WA KUTOKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA.
FESTUS PANGAN WA KITUO CHA RADIO CHA BEST FM ILIYOKO LUEDEWA AKICHUKUA MATUKIO LAKINI WAANDISHI WA HABARI WA RADIO UPLANDS FM ILIOKO MJINI NNJOMBE HAWAKUCHEZA MBALI HII NI RADIO INAYOSIKIKA MAENEO MBALIMBALI YA MKOA WA NJOMBE NA MIKOA MINGINE JIRANI IKIWEMO BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MBEYA,MOROGORO,IRINGA,DODOMA NA RUVUMA
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Keptein Mstaafu Aseri Msangi Jana Amekakuga na Kuzindua Rasmi Maonyesho ya Kumi na Moja ya Nyanda za Juu Kusini
ya Wajasiriamali Kwenye Uwanja wa Sabasaba Mjini Njombe Ikiwa ni Maandalizi ya Uzinduzi Rasmi wa Mkoa wa Njombe.
Akiongea Mara Baada ya Kukagua Mabanda ya Maonyesho Hayo Keptein Mstaafu Msangi Ameoneshwa Kulidhishwa Kwa Mabanda Yanayoshiriki Katika Maonesho Hayo na Kubainisha Kuwepo Kwa Changamoto Kadhaa Hasa Vifungashio Vya Bidhaa za Wajasiriamali Kutokuwa na Ubora.
Aidha Mkuu Huyo wa Mkoa wa Njombe Amewataka Wajasiriamali wa Mkoa wa Njombe Kutumia Fursa Hiyo Kujifunza Kutoka Kwa Wajasiriamali wa Kutoka Mikoa ya Jirani Pamoja na Kujitangaza Wao na Bidhaa Zao.
Awali Akisoma Risala Kwa Mkuu wa Mkao wa Njombe Ambaye Alikuwa Mgeni Rasmi Kaimu Mkurugenzi wa SIDO Taifa Pius Wenga Amesema Changamoto Kubwa Zinazowakabili Wajasiriamali Wengi Hapa Nchini ni Mitaji ya Kuendesha Shughuli Zao za Kijasiriamali.
Maonyesho Hayo ya Kumi na Moja ya Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Yanashirikisha Mikoa ya Iringa, Ruvuma , Mbeya , Katavi , Rukwa na Mwenyeji Mkoa wa Njombe Pamoja na Mikoa ya Jirani ya Morogoro.
Maonyesho Hayo Yanatarajiwa Kufikia Kilele Chake Oktoba 18 Mwaka Huu Siku ya Uzinduzi Rasmi ya Mkoa wa Njombe Huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akitarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment