Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, October 31, 2013

MADEREVA NA WAMILIKI WA MAGARI YA MIZIGO LEO WAMEANDAMANA MPAKA KWA MKURUGENZI WAKIPINGA TOZO ZA MAEGESHO YA MAGARI YAO WAKATI WAKISHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO KWENYE MADUKA YA WAFANYABIASHARA NJOMBE MJINI.






 MAGARI MAKUBWA YANATAKIWA KWENDA KWENYE ENEO LA MAEGESHO LILILOTENGWA NA HALMASHAURI HIYO LAKINI MADEREVA WANATOA SABABU NYINGI ZA KIUFUNDI ZA KUTOKWENDA HUKO KUWA NI PAMOJA NA MAGARI MAKUBWA YENYE ZAIDI YA TAN 30 NA UWANJA HUO HAUJASHINDILIWA.

 AFISA BIASHARA WA HALMASHAURI YA MJI EDWARD MDAM AKIWA KWENYE OPERESHENI YA KUWASAKA WANAOPAKI MAGARI KINYUME NA SHERIA ZA MIPANGO MIJI AKIWA NA MAAFISA USALAAMA


 HAPA AFISA BIASHARA PAMOJA NA WAKALA WA USAFI NA MAEGESHO BWANA MSANGU WAKIZUNGUMZA NA DEREVA WA GARI  MOJA LILILOPATIKANA KUSHUSHA MZIGO ULIOKUWEPO KWENYE GARI HILO



 MAAFISA USALAMA BARABARANI WAKIWA KAZINI  MAPEMA SAA TANO LEO HII KABLA YA MAANDAMANO YA MADEREVA NA WAMILIKI WA MAGARI HAYO






 MSAFARA BADO UNAENDELEA KUSAKA MAGARI MENGINE YANAYOSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO BADALA YA MAGARI YALIOAINISHWA KUFANYA KAZI HIYO



NI MAJIRA YA SAA NNE ZOEZI HILO KUWASAKA WALIOPAKI KINYUME NA TARATIBU ZA MIPANGO MIJI  LIMEANZA  AMBAPO MZOZO UMEANZA BAADA YA KUFIKA KATIKA KITUO CHA MAFUTA CHA MWISHONI KABISHA KUELEKEA MAKAMBAKO JIRANI NA BANK YA  NBC.........habari itakujia hivi pundeeeeeeeeee

No comments:

Post a Comment