kwa hisani ya Francis Godwin-Iringa
mwili wa marehemu edger lalika |
Na kayanda manyanya
Kijana mmoja mkazi wa kihodombi,aliyetambulika kwa jina la Edger Lalika amekutwa ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani maeneo ya Tosamaganga,iringa kijana huyo ambaye anakadiliwa kuwa na umri wa miaka 20,ameuwa akiwa anafanya shughuli zake za bodaboda,aidha wakiongea kwa masikitiko makubwa baadhi ya madereva bodaboda wamelaani vikali kitendo hicho na kuwataka madereva bodaboda wengine kuungana na kushirikiana na jeshi la polisi kufichua vitendo vyote vya kiuarifu.
mazishi ya kijana huyo yanafanyika leo katika makaburi ya mlolo Iringa Manispaa.
No comments:
Post a Comment