Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Wednesday, June 5, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIA LUDEWA WAHAMASISHWA KUJALI MAZINGIRA na KUTUNZA MAZINGIRA


PICHA NA PROSPER MFUGALE,NJOMBE

  MWENYEKITI WA ASASI MLAWA ORGANIZATIO KUSHOTO  AKIWA KATIAKA OFISI YA KATA YA IDOPE KABLA YA KUANZA ZIARA KENYE MAADHISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MBELE NI MTENDAJI WA KATA NA KUSHOTO NI KATIBU MTENDAJI WA ASAS HIYO
 MWENYEKITI WA ASASI MLAWA ORGANIZATIO KUSHOTO  AKIWA KATIAKA OFISI YA KATA YA IDOPE KABLA YA KUANZA ZIARA KENYE MAADHISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MBELE NI MTENDAJI WA KATA NA KUSHOTO NI KATIBU MTENDAJI WA ASAS HIYO
 WANAFUNZI WA SHULE WAKIPUMZIKA BAADA YA KUTAFUTA NYASI NA FITO KUAJILI YA UJENZI WA CHOO
BAADHI YA WANAKIJIJI CHA LUVUYO  LUDEWA WAKIWA NA MWENYEKIT WA ILAWA WAKIPANDA MITI KWENYE CHANZO CHA MAJI KARIBU NA SHULE YA MSINGI LUVUYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI


 MWENYEKITI WA ASAS AKIPANDA MITI RAFIKI YA MAJI KWENYE CHANZO CHA MAJI KATIKA KIJIJI CHA LU VUYO KATA YA MADOPE LUDEWA
 TATIZO LA LUMBESA BADO LINAENDELEA KUMKABILI MKULIMA WA VIAZI MKOANI NJOMBE
 CHANZO  CHA MAJI CHA ASILI CHA MAJENGO AMBACHO NI CHA ASILI NA KIPO KATKATI YA MLIMA HAPO KIJIJI CHA MADOPE WILAYANI LUDEWA



 WANAFUNZI VIJIJIN BADO WANAFANYA KAZI YA KUKUSANYA KUNI TUTAONGEZA UFAULU KWA KUFANYISHANA KAZI KWELI JAMANI HII NI CHANGA MOTO KWETU SOTE WADAU WA ELIMU

 THE CHAIRMAN OF MADOPE VILLAGE LUDEWA TELLING SOMETHING ABOUT THE LUSITU TEA ESTATES TO THE BLOG JOURNALIST PROSPER MFUGALE DURING MAZINGIRA DAY









MRATIBU ELIMU WA KATA YA MADOPE  PAMOJA NA WANANCHI NA VIONGOZI MBALIMBALI WA ASASI NA SERIKALI WAKISHIRIKI KUPANDA MITI KWENYE VYANZO VYA MAJI KATIKA KIJIJI CHA MANGALANYENE.

Wakati Hii Leo  ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani , Wananchi Wilayani Ludewa Wametakiwa Kuyatunza Mazingira Yanayowazunguka Pamoja na Kutunza Vyanzo Vya Maji wa Kupanda Miti Rafiki Katika Vyanzo Hivyo na Kuacha Kuendesha Shuhguli za Kiuchumi Katika Vyanzo Hivyo.

Akizungumza na Wananchi wa Kata ya Idope Kwa Lengo la Kuwahamasisha Wananchi Hao Kutunza Mazingira na Vyanzo Vya Maji Mwenyekiti wa Shirika Lisilo la Kiserika Linalojihusisha na Uhamasishaji wa Utunzaji Mazingira la Mkoani Njombe la Ilawa Iprovement Organization, Bwana Nathanael Mgani Amesema Kwa Kiwango Kikubwa Vyanzo Vya Maji na Mazingira Yanaharibiwa Kutokana na Shughuli Mbalimbali za Kiuchumi Ikiwemo Kilimo.

Kwa Upande Wake Afisa Mtendaji wa Kata Hiyo Bwana Atanasio Mtulo Amesema Atashirikiana na Maafisa wa Vijiji Kuendelea Kutoa Elimu Kwa Wananchi Juu ya Utunzaji wa Mazingira Huku Akiwataka Wananchi Wanaoendesha Shughuli za Kiuchumi Karibu na Vyanzo Vya Maji Kuacha Mara Moja Kabla Serikali Haijawachukulia Hatua za Kisheria.

No comments:

Post a Comment