Wednesday, June 19, 2013
KIMONDO FC WATOKA KWA ULINZI MKALI BAADA YA KUMALIZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU DHIDI YA NJOMBE MJI,WAFUNGANA 1-1 ,KIMONDO FC ACHUKUA USHINDI LEO KWA PENATI DHIDI YA NJOMBE MJI FC
Njombe mji fc imetolewa kwa penati na Kimondo fc ya Mbeya baada ya dakika tisini kumalizika wakiwa na sale ya magori 1-1.
Njpmbe mji wameshindwa kupangua penati zilizopigwa na wachezaji wa Kimondo fc hali iliyolazimu Njombe mji kufungwa kwa magori ya penati.
Baada ya mchezo kumalizika baadhi ya mashabiki wa Njombe mji fc hawakulizika wakaanza vulugu ambazo zilitulizwa na kikosi cha cheshi la polisi mkoa wa Njombe hatimae kimondo kuwa chini ya ulinzi mkali wasiweze jeruhiwa na mashabiki hao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment