Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Wednesday, June 19, 2013

MABINGWA WA MIKOA TANZANIA BARA HII LEO KATIKA UWANJA WA SABASABA NI KATI YA NJOMBE MJI FC NA KIMONDO FC WA MKOA WA MBEYA WACHUANA VIKALI

.



PAMBANO la NJOMBE MJI FC na KIMONDO FC lajaza mashabiki Mjini Njombe

Watangazaji wa Michezo wa UPLANDS FM RADIO Njombe Kulia ni David George na Shaban Luppa wakirushwa Live Matangazo ya Mpira kati ya NJOMBE MJI FC na KIMONDO FC Katika Uwanja wa Sabasaba Mjini Njombe.
James Eugene Kulia[Dj Quest the Best]Kulia akiwa na watangazaji wenzie wa Kituo cha Radio cha Uplands Fm Njombe LIVE.
Mwanahabari Mpiga Picha maarufu Mjini Njombe bwana Elia Kayombo akiendelea kufanya Vyema katika Uwanja wa Sabasaba Mjini Njombe.



Mashabiki wa Njombe Mjini wakishangilia kwa mbwembwe zote kwa kutumia Njombe Stars Band Live uwanjani.
Mama Mavuvuzela WA Njombe Mji wakiwa LIVE wakisakata Lumba na Njombe Stars Band ambayo inaendelea Kutumbuiza katika Soko la Njombe Mji Fc na Kimondo Fc inayoendelea katika Uwanja wa Sabasaba Mjini Njombe.
Hizi Zote ni mbinu za Kiushangiliaji kwa Mashabiki wa Njombe Mji katika Kuhakikisha wanashinda dhidi ya Kimondo FC ya Mbeya.
Mashabiki wa Njombe Mji wakiingia Kwa Mbwembwe Uwanjani


Hali ya Ulinzi na Usalama Imeimarishwa sawasawa.
Mzee wa Fitna wa Njombe Mji bwana James Swalleh ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa UPLANDS FM RADIO .
Waliovalia Jezi ya Kijani ni Wachezaji wa Njombe Mji na Nyeupe Ni Kimondo Fc katika Mechi ya Marudiano Mabingwa wa Mikoa.

Wanahabari wakiendelea Kufanya kazi yao ndani ya Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe Leo.


Mabingwa wa mikoa Tanzania bara leo kwa timu za Kimondo fc na Njombe mji fc waendelea kuchuana vikali katika uwanja wa sabasaba ukiwa ni mchezo wa marudiano ambapo hadi sasa timu hizo zimefungana magori ya 1-1 na sasa ni kipindi cha pili.

Kimondo fc wa mkoa wa Mbeya wameweza kujipatia gori la kwanza  kunako kipindi cha kwanza  ndakika ya 43 huku Njombe mji fc wakifanikiwa kurudisha gori hilo kunako kipindi cha pili dakika ya 14 .

Timu hizo mpaka sasa zimefungana magori ya sale ya magari 1-1 kikiwa ni kipindi cha pili na sasa mashambulizi yanazidi kuongezeka kwa kushambuliana ikiwa kwa sasa ni dakika ya 34 kipindi cha pili.

Kwa matkeo zaidi endelea kutembelea mtandao huo......

No comments:

Post a Comment