Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Tuesday, March 5, 2013

WANAHABARI IRINGA WAPEWA SEMINA KUHUSU MKAKATI WA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU KUTOKA KWA MAMA-MTOTO


Afisa Habari wa mradi wa Champion 360 akifundisha wanahabari wa mkoa kuhusu elimu ya afya ya uzazi kwa ngazi ya familia na kuhusu kuzuia maambukizi ya ukimwi kutoka kwa mama kwenda mtoto. Ili waweze kwenda kuhamasisha jamii kuhusu kupima na wanaume kushiriki katika huduma ya kliniki na wake au wapenzi wao.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka mkoa wa Iringa wakishiriki semina.

Mwezeshaji MUTA akifundisha kuhusu ushiriki wa wanaume katika afya ya uzazi na makakati wa kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

No comments:

Post a Comment