MATUKIO NA NGILANGWA MICHAEL:
Pages
Home
CONTACT
0757092504/0678321772
Saturday, March 9, 2013
VIKOSI VYA SANAA ZA MAONESHO VIKIFANYA MAAJABU NJOMBE,KWA KUWABURUDISHA WANANCHI.
Ni mtu mzima huyo anaingia kwenye bagi la nguo kama ni moja ya maonesho ya sanaa yanayoweza kuwaingizia kipato huo ni ubunifu wao.
Amini usi amini begi hili limebeba mtu ndani humo anaweza kusafiri kwenye gari ukadhani amebeba mzigo wa kawaida kumbe mtu kaingia kwenye begi la nguo.
Ni mazoezi ya viungo yanayofanywa na vijana hao mjini Njombe nkama ni njia ya kujitafutia kipato. picha Na Michael Ngilangwa Njombe
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment