Saturday, March 16, 2013
UMOJA WA MASEREMALA NJOMBE WAWAITA MAAFISA USHIRIKA KUPATIWA ELIMU YA KUUNDA CHAMA CHA USHIRIKA.
MAAFISA USHIRIKA WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE HERRISON NYAMBO NA LAWI DUWAGHE WAKITOA ELIMU KWA WAJASILIAMALI YA KUTAKA KUJIUNGA KATIKA USHIRIKA.
VIONGOZI WA UMOJA WA MASEREMALA SOLANUS MUHAGAMA AKIWA NA VIONGOZI WENZAKE AKIWEMO MWENYEKITI.
WANACHAMA WA UMOJA WA MASEREMALA NJOMBE WAKIWA KATIKA UKUMBI WA PASTO MJINI NJOMBE.
HUYU NI MWENYEKITI WA MASEREMALA NJOMBE ALIYESIMAMA.
Maseremala tayari wameunda kamati ya umoja huo itakayo saidiana na viongozi kusimamia shughuli za maendeleo ya maseremala ikiwemo kukabiliana na changamoto mbalimbali zinatojitokeza katika maeneo yao
Viongozi hao watakuwa wasemaje katika maeneo mbalimbali ya kwenye vikao vya serikali na kudai haki pamoja na kuwatetea wanyonge ambao wamekuwa wakionewa kutokana na kutojua sheria za mji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment