Wananchi wakiwa makini kusikiliza kinachozungumzwa na nviongozi wao imalinyi kijiji cha Ilulu.
Diwan wa kata ya Imalinyi Enock Kiswaga akitoa maelezo kuhusu mwenyekiti huyo kabla hsjsondolewa .
Mwenyekiti wa muda wa kijiji cha Ilulu mkoani Njombe baada ya wananchi wa kijiji cha ilulu kumuondoa.
Mzee Saimon Kimilike amerudi kundini na kuachia kiti mtu mwingine bada yakuzomewa na wananchuni.
Wananchi wakihoji uhalali wa mwenyekiti huyo kuendelea kuwa mwenyekiti katika kijiji hicho
Mwenyekiti wa Kijiji Cha Ilulu Kata ya Imalinyi Wilayani Wanging'ombe Mkoani
Njombe Bw Saimoni Kimilike Amejiuzulu
Uongozi wa Kijiji Hicho Kufuatia Kile Kinachodaiwa na Wananchi Kuwa ni
Kuzorotesha Maendeleo ya Kijiji.
Wakizungumza Katika Mkutano wa Hadhara Uliofanyika
Kijijini Hapo Wananchi Hao Wamesema Hawamuhitaji Mwenyekiti Huyo Kutokana na
Kutumia Utawala wa Kimabavu na Kushindwa Kusimamia Ujenzi wa Ofisi ya Walimu wa
Shule ya Msingi Ilulu.
Pamoja na hayo wananchi hao wamesema kuna tofali walifyatua wananchi wenyewe lakini mwenyekiti huyo hakutaka kusimamia ili zitumike kujengfea ofisi ya kijijui na ya walimu wa shuele ya msingi Ilulu ambayo hadi sasa haina ofiosi licha ya tofali kufyatuliwa.
Enock Kiswaga ni Diwani wa Kata ya Imalinyi Pamoja na
Kubariki Uamuzi wa Wananchi Kumkataa Mwenyekiti Huyo Lakini Pia Anatumia Fursa
Hiyo Kutoa Wito Kwa Wananchi Kuhakikisha Wanashiriki Katika Maendeleo ya
Kijiji.
Akizungumza Mara Baada ya Mkutano Huo Mwenyekiti
Aliejiuzulu Bw Kimilike Amesema Pamoja na Kuchgauliwaa Kidemokrasia Wakati wa
Uchaguzi Uliopita Lakini Kwa Kuwa Wananchi Wameonesha Kutomhitaji Hivyo
Analazimika Kujiuzulu
Kaimu Afisa Mtendaji wa Kata Ambae Pia ni Mratibu Elimu
wa Kata ya Imalinyi Bwana Eusebius Mtasiwa Anasema Uamuzi wa Wananchi ni
Matokeo ya Malalamiko ya Muda Mrefu ya Wananchi Kuhusu Utendaji Kazi wa
Mwenyekiti Huyo.
Kujiuzulu Kwa Mwenyekiti Huyo Kunakuja Ikiwa ni Miezi Michache Tangu Kufanyika Kwa Uchaguzi
wa Wenyeviti wa Vijiji Katika Maeaneo Mbalimbali Mkoani Hapa Ikiwa ni Sehemu ya
Ujazaji wa Nafasi Zilizokuwa Wazi Kutokana na Sababu Mbalimbali Ikiwe o Kama
Hizo za Wenyeviti Kujiuzulu
No comments:
Post a Comment