Wanachama wa chama cha akiba na mikopo cha Emap saccos kilichopo Mjimwema Njombe wakiwa kwenye mkutano huo na hapa kila mmoja na karatasi ya tarifa za chama
MWENYEKITI MPYA WA BODI YA SACCOS YA EMAP
MRAJISI WA VYAMA VYA USHIRIKA MKOA WA NJOMBE EXAUD SAPALI AKITOA MSISITIZO HAPA AKIWA KWENYE MKUTANO HUO.
No comments:
Post a Comment