Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,
katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi
cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mhe. Mohamed Aboud Mohamed
(katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha
siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani)wengine ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri Mhe.Mihayo
Juma N'hunga.
Baadhi
ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Ofisi ya Makamu wa Pili wa
Rais wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi
wa Ofisi hiyo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango
kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Viongozi
mbali mbali katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Ofisi hiyo katika kikao
cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya
kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja. (Picha na Ikulu)




No comments:
Post a Comment