Mgeni
Rasmi, Waziri wa Madini Angellah Kairuki akizungumza na wafanyabiashara
ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha Bodaboda
waliokusanyika katika viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri
aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Azan akizungumza na wafanyabiashara
ndogondogo eneo la Kariakoo na waendesha pikipiki waliokusanyika katika
viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika
kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na wafanyabiashara
ndogondogo eneo la Kariakoo na waendesha pikipiki waliokusanyika katika
viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika
kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
Mwakilishi
wa wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga
Bw.Namoto Yusuf Namoto akisoma risala ya kumpongeza Rais Dkt. John
Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya
utawala wake.
Mwakilishi
wa waendesha Bodaboda Wilaya ya Ilala Bw. Athanas Kitime akitoa salamu
zao kwa Mgeni Rasmi, Waziri wa Madini Angellah Kairuki (hayupo pichani)
wakati wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na
waendesha pikipiki wakimpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri
aliyoifanya kwa kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
Mwenyekiti
wa wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga Bw.
Steven Lusinde (kulia) na Mwakilishi wa waendesha pikipiki maarufu kama
waendesha bodaboda Bw. Athanas Kitime wakimkabidhi risala Mgeni Rasmi,
Waziri wa Madini Angellah Kairuki wakati wafanyabiashara ndogondogo eneo
la Kariakoo na waendesha pikipiki wakimpongeza Rais Dkt. John Magufuli
kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha miaka miwili ya utawala
wake.
Baadhi
ya wafanyabiashara ndogondogo eneo la Kariakoo maarufu wamachinga na
waendesha pikipiki maarufu kama waendesha bodaboda waliokusanyika katika
viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa
kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.
Msanii
Sholo Mwamba akitoa burudani kwa wafanyabiashara ndogondogo eneo la
Kariakoo maarufu wamachinga na waendesha pikipiki waliokusanyika katika
viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa
kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.

No comments:
Post a Comment