Mjane
wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca Machel akihutubia wakati
wa kufunga Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women
Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam anakwa takribani
siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika

wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca Machel akiteta jambo na
Waziri Mkuu wa Zamani Nchini ,Jaji Joseph Sinde Warioba kabla ya kufunga
Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance
in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu
na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika
Baadhi
ya Wanawake kutoka nchi Mbalimbali Walioshiriki Mkutano wa Maendeleo ya
Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika
Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu na kuwakutanisha
Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika
Waziri
Mkuu Mstaafu ,Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza jambo na
Mwanaharakati wa siku nyingi Getrude Mongela wakati wa Kufunga Mkutano
wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa )
Uliofanyika Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu na
kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika
Baadhi
ya Wanawake kutoka nchi Mbalimbali Walioshiriki Mkutano wa Maendeleo ya
Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika
Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu na kuwakutanisha
Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika
No comments:
Post a Comment