Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari wa Hospitali ya Apolo, Bangalole ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kumuwekea milango
miwili ya moyo ya chuma (Aortic na Mitral Valuves) ambayo itamsaidia
kupitisha damu vizuri katika moyo. Kutoka kulia ni Dkt. Sathyaki
Nambala, akifuatiwa na Dkt. Bashir Nyangasa na kushoto ni Dkt. Lebighe Khan.
Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari wa Hospitali ya Apolo, Bangalole ya nchini India wakiendelea na kazi ya kumfanyia mgonjwa upasuaji wa kumuwekea milango
miwili ya moyo ya chuma (Aortic na Mitral Val uves) ambayo itamsaidia
kupitisha damu vizuri katika moyo. Mgonjwa huyo milango yake miwili ya
moyo haikuwa inafanya kazi vizuri ya kupitisha damu.
Picha na Anna Nkinda - JKCI
No comments:
Post a Comment