Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla, ametembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom
iliyopo Wilayani Mbulu Mkoani, Manyara na kushuhudia namna ya utendaji
kazi unaofanywa Hospitalini hapo.
Naibu
Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangalla amefaanya ziara ya kikazi kujionea
shughuli zinazofanywa katika sekta ya Afya na wadau mbalimbali ikiwemo
Hospitali hiyo ya Kilutheri ambayo inahudumia eneo kubwa la Ukanda huo
ikiwemo Mikoa ya Singida, Tabora, Manyara yenyewe na maeneo mengine ya
karibu.

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akielezea machache juu ya ujio wake katika
hospitali hiyo

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa kitengo
cha Machi katika Hospitali hiyo ya Hydom.

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo juu ya kitemgo maalum cha
ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam katika Hospitali hiyo ya Hydm.

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akipata picha ya pamoja na mtaalam wa masuala
ya ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam ambaye anatoa mafunzo kwa wataalam
wa ufundi wa vifaa hivyo mpango ambao unaendelea katika katika
Hospitali hiyo ya Hydom.

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akiangalia chumba cha CT-SCAN katika
Hospitali hiyo ya Hydom.

Mashine ya kisasa ya CT-SCAN iliyopo katika hospitali hiyo ya Hydom
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akitembezwa katika moja ya wodi za Hospitaali
hiyo ya Hydom.

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akisikiliza kwa makini risala fupi kutoka kwa
msimamizi wa Chuo hicho cha Uuguzi cha Hydom.

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akitoa maelezo kadhaa kwa uongozi wa
Hospitaali hiyo ya Hydom muda mfupi baada ya kumaliza kwa kuitembelea.

Wanafunzi wa chuo cha Uuguzi wakifuatilia mkutano huo..

Mmoja wa wafanyakazi wa Hospitali ya Hydom akipata kuuliza swali katika mkutano huo.

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akijibu baadhi ya maswali wakati wa mkutano
huo ambapo aliomba mfanyakazi yeyote kuulizwa swali.

Moja ya muonekano wa jengo la Hospitali hiyo la Hydom

Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni katika Hospitali
hiyo ya Hydom.
(Picha zote na Andrew Chale,Modewjibl)
No comments:
Post a Comment