Rais Yoweri Kaguta Museveni wa
Uganda akijiandaa kuweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta
Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya
ya Mashariki jijini Arusha leo Machi 2, 2016
Kagama wa Rwanda akiweka saini
ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa
Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo
Machi 2, 2016
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa
Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini
Arusha leo Machi 2, 2016
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa
Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za
Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo Machi 2, 2016
Wanafunzi walioshinda mashindano
ya Insha ya EAC wakipata selfie na viongozi baada ya Mkutano wa 17 wa
Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo Machi
2, 2016
Kijana Simon Sahaya Mollel (18)
wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe ya mjini Morogoro akionesha dola 1500
alizopewa kama zawadi baaya ya kuibulka mshindi wa kwanza wa kuandika
Inshawakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya
Mashariki jijini Arusha leo Machi 2, 2016
Watoto walioshinda wakijipiga picha kwa simu na marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
No comments:
Post a Comment