Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wa Lamadi wilayani Busega kabla ya kuhutubia
mkutano wa hadhara wenye uwanja wa michezo Machi 2, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wa Lamadi wilayani Busega kabla ya kuhutubia
mkutano wa hadhara wenye uwanja wa michezo Machi 2, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Busega Dkt Raphael
Chegeni (kushoto) na Mbunge wa zamni wa jimbo hilo, Dkt Titus Kamani
ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Simiyu wametangaza rasmi
kuzika tofauti zao na kushirikiana kuleta maendeleo kwenye jimbo hilo.
Pichani viongozi hao wakiwadhihirishia wananchi kuwa hawana chukui wala
ugomvi tena na kuwa uchaguzi umekwisha katika mkutano wa hadhara
uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye kijiji cha Lamadi
wilayni Busega Machi 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Busega Dkt Raphael
Chegeni (kushoto) na Mbunge wa zamni wa jimbo hilo, Dkt Titus Kamani
ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Simiyu wametangaa rasmi
kuzika tofauti zao na kushirikiana kuleta maendeleo kwenye jimbo hilo.
Pichani viongozi hao wakiwadhihirishia wananchi kuwa hawana chukui wala
ugomvi tena na kuwa uchaguzi umekwisha katika mkutano wa hadhara
uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye kijiji cha Lamadi
wilayni Busega Machi 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majliwa
akionyesha usinga na mkuki ambavyo alipewa na wazee wa Kisukuma wa
Busega katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lamadi Machi 2, 2016.
Wazee hao pia walimbatiza jina la Massanja. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutanowa hadhara katik kijiji cha Lamadi wilayani Busega
Machi 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment