Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda
Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi
Alliance)wakizindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni
kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa
Ardhi, uzinduzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi za shirika
la Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) Ilala jijininDar es
salaam.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda
Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi
Alliance)wakikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi taasisi hiyo
ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali
yanayohusu umiliki wa Ardhi.
Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi akionyesha huku Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda
Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi
Alliance) na wanachama wenzake wakifurahia mara baadea ya kuzindua rasmi
taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika
masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa Ardhi, Kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa TAWLA Tike Mwambipile.
Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi akimpongeza Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda
Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi
Alliance)mara baada ya kuizindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake
kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki
wa Ardhi
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda
Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi
Alliance) akisaini kulia ni Naemy Silayo Program Officer Gender And
Children Unit wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)
Mkurugenzi
wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi akizungumza jambo katika
kikao hicho kutoka kulia ni Bi.Lilian Liundi kutoka TGNP na katikati ni
Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA Bi. Tike Mwambipile.
Jaquiline
Waya Afisa Mipango wa Shirika la Wanawake Katika Sheria na Maendeleo
Afrika WILDAF akizungumza jambo katika mkutano huo kulia ni Loyce
GondweOfisa wa Sheria katika shirika la Tanzania Media Women Association
(TAMWA)
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda
Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi
Alliance) pamoja na baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakiendelea na
majadiliano.
Wajumbe wa Taasisi ya Mama Ardhi Alliance wakipitia nyaraka kabla ya kusainiwa na kuzindua taasisi hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA Tike Mwambipile akizungumza jambo katika kikao hicho
Mkutano ukiendelea
No comments:
Post a Comment