Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe akifungua kongamano la siku mbili
mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya
habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Katibu Mtendaji wa Baraza la
Habari Tanzania, (MCT), Kajubi Mukajanga (pichani)akiwashukuru washiriki
wa kongamano la vyombo vya habari litakalofanyika kwa siku mbili jijini
Dar es Salaam, kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Afrika
Mashariki linalenga kutathmini mchango wa vyombo vya habari katika
kukuza demokrasia katika ukanda wa afrika Mashariki.
Katibu wa bunge la Afrika
Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera akitoa neno la shukrani kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe kufungua kongamano
la siku mbili linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza
demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki, kongamano hilo
linaloratibiwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mmoja wa wadau wa habari Dkt.
Ayoub Rioba akichangia katika kongamano la siku mbili mapema hii leo
jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika
kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
Assah Mwambene akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa kongamano la
siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa
vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika
Mashariki.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akisikiliza kwa makini
michango mbalimbali ya wadau wa habari wakati wa kongamano la siku mbili
mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo
vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki,
kushoto ni Katibu wa bunge la Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard
Sezibera na kulia.
Baadhi ya Mabalozi na wadau wa
habari wakimfuatilia kwa makini Waziri wa Ushirikianno wa Afrika
Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe wakati akifungua kongamano la siku
mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa
vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika
Mashariki.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe ( mwenye tai ya njano mbele) akiwa
katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa habari wakati wa wa
kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam
linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia
katika ukanda wa Afrika Mashariki, kushoto ni Katibu wa bunge la Afrika
Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera na kulia.
Picha zote na Eliphace Marwa – MAELEZO
No comments:
Post a Comment