Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Sunday, April 5, 2015

Garissa:Wanafunzi kuondoa vitu vyao



Chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya
Wanafunzi katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya wanatarajiwa kupelekwa chuoni humo ili kundoa vitu vyao kabla ya kupelekwa nyumbani.
Serikali ya Kenya imefunga chuo hicho kufuatia shambulio la siku ya alhamisi ambapo watu 150 waliuawa.
Uchunguzi kuhusu tukio hilo unandelea na watu wawili zaidi wamekamatwa.

Walioshuhudia wanasema kuwa wale waliovamia chuo hicho walizungumza lugha ya kiswahili lakini walionekana kupata ushauri kwa njia ya simu za mkononi

No comments:

Post a Comment