Shamba la Miwa likiwa limeandaliwa kwa kuchomwa moto tayari kwa kuvunwa.
HAWA NI WAJUMBE WA SAGCOT WAKIWA KWENYE KIKAO HICHO
Wajumbe wa Bodi ya Sukari Kilombero wakiwa katika kikao na wajumbe wa Bodi ya Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT) baada ya ziara yao katika mashamba ya miwa ya wakulima wadogowadogo
karibu na maeneo ya Kiwanda cha Sukari Kilombero mkoani Morogoro.
Wajumbe wa Bodi ya SAGCOT Bw. Inge Skjelfjord
Wajumbe hao wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kikao hicho
kilichofanyika katika Kiwanda cha Sukari Kilombero.
Mkurugenzi wa ofisi ya SAGCOT Catalytic Trust Fund Bw. John Kyaruzi akizungumza
na wajumbe wa Bodi ya SAGCOT katika uzinduzi wa Ofisi yao iliyoko
karibu na Hospitali ya Ocean road jijini Dar es Salaam hapo jana.
Mwenyekiti wa Bodi ya SAGCOT Balozi Ami Mpungwe akizungumza na wajumbe wa bodi katika uzinduzi wa Ofisi hiyo.
PICHA NA Afisa Habari kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Walter Peter
No comments:
Post a Comment