Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa
Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha.
Kongamano hilo limefunguliwa leo Septemba 24, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia burudani ya ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa AICC
jijini Arusha leo Septemba 24, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la mwaka la
siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati
akihutubia katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Septemba 24, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
amkabidhi zawadi Shadrack Kishimba, kwa niaba ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali, Ludovick Utouh, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la mwaka la siku
tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa
AICC jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
amkabidhi zawadi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa, wakati wa ufunguzi wa Kongamano
la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye
ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha.
Picha ya pamoja na washiriki wa kongamano hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Dkt. Joan Pastor, (kulia) na Lesedi Lesetedi baada ya kufungua
rasmi Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani,
linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na mtoa mada, Faith Basiye kutoka nchini Kenya (wa pili kushoto) baada
ya kufungua rasmi Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za
Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha. Kulua kwa
Makamu ni Emmanuel Johannes. Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment