Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, April 12, 2014

MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA JIJINI DAR ES SALAAM WAKAZI WAKE WAKOSA MAKAZI


Mvua  yaendelea  kusumbua  Dar es Salaam  maji  kila  kona kama  hapa  inavyoonekana  (picha na mdau  wetu  Mpeli Mwaisumbe)

 Mkazi wa  jiji la Dar es Salaam  akiwa ameokoa  baadhi ya mali  zake  huku  asijue kwa kwenda 
Mbali ya  nyumba  hizi kufunikwa na maji  ila  bado nyumba  hii  kushoto  umeme  unawaka jambo ambalo ni hatari zaidi  na Tanesco  wanatazama  (picha na Mroki Mroki)
 Hivi ndivyo  mvua  inavyowatesa  wananchi  wanaoishi mabondeni jiji  Dar es Salaam  ila bado hawataki kuhama



Daraja la  Bunju  Dar

No comments:

Post a Comment