Tuesday, November 12, 2013
UMOJA WA VIJANA WA KIJIJI CHA TAMBALANG'OMBE WAKIWAJIBIKA KIMAENDELEO KWA KUCHOMA TANURI ZA TOFALI ZA KUJENGEA NYUMBA
HAWA NDIYO VIJANA WACHAPA KAZI LAKINI WAMESEMA WANAKOSA MITAJI YA KUENDESHEA MIRADI YAO.
KAZI HII LAKINI INAKWENDA SAMBAMBA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA PINDI WANAPOTAFUTA KUNI ZA KUCHOMEA
VIJANA WA MALANGALI WAKIWA KATIKA KIJIJI CHA TAMBALANG'OMBE WILAYANI MUFINDI WAKIWAJIBIKA AKIWEMO ABDUL KIDUMULE NA CHRISTOPHA CHONYA KATIKA KAZI YA UCHOMAJI WA TANURI ZA MATOFARI
MZEE ALFRED MKAKALA AKIWASINDIKIZA NA KUWAELEKEZA NAMNA YA UPANGAJI WA KUNI KWAAJILI YA UCHOMAJI WA TOFARI KWENYE TANURI ZA TOFARI HIYO HUKU WAKISHUSHIA KINYWAJI CHA ASILI KIJULIKANACHO KAMA UGIMBI YAANI POMBE YA KYENYEJI YA MACHICHA
VIJANA HAWA PIA NI WAFUGAJI MAARUFU WA MIFUGO AINA YA NG'OMBE NA MBWA KWAAJI YA KUWINDIA WANYAMA POLI WAKIWEMO NDEZI NA PANYA BUKU AMBAO NI WAHARIBIFU WAKUU WA MAZAO YA MAHINDI MSIMU WA KILIMO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment