Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Monday, November 25, 2013

POLISI FC WA NJOMBE JANA WALETA VURUGU NA KUWASHAMBULIA WAAMUZI NA WAANDISHI WA WA HABARI KATIKA UWANJA WA SABASABA BAADA YA KPIGWA MABAO MATATUA AAKWA MOJA


 

 Refa Huyo Anayeonekana Anaitwa Bwana Mashaka Lulambo Ndiye Aliyeanza Kupigwa Uwanjani Humo Na baadae kumshambulia mwandishi wa habari na kunyang'anya vifaa vya kazi ikiwemo kamera,vinasa sautia na simu ya mkononi na huyo mwenye tisheteti nyeupe ni miongoni mwa askali walioanzisha vurugu hizo.



Baadhi ya Askari Polisi Waliovalia Mavazi ya kawaida Wamenaswa Wakileta Vurugu Katika Uwanja wa Sabasaba Mjini Njombe Baada ya Timu yao Kufungwa na Timu ya Njombe Mji Leo.

Baadhi ya Watu Wameweza Kupigwa na Kujeruhiwa na Askari hao Akiwemo Refa Pamoja na Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Radio Uplands Fm Bwana Michael Ngilangwa na Kuvunjiwa Vifaa Vyake Vya Kazi Ikiwemo Kamera Aliyokuwa Akipigia Picha na Kinasa sauti na Simu yake Ya Mkononi.

No comments:

Post a Comment