Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Friday, November 8, 2013

WAUMINI WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHEL TANZANIA WATAKIWA KUONGEZA MAOMBI KATIKA IBADA ZAO MALANGALI WILAYANI MUFINDI

MCHUNGAJI WA KANISA LA KILUTHEL TANZANIA TOKA MOSHI MCHUNGAJI MICHAEL MACHA AKIWA MALANGALI WILAYANI MUFINDI AKIONGEA NA WAUMINI WAKE
KWAYA YA KKKT KATA YA MALANGALI NA ITONA MUFINDI WAKIWABURUDISHA WAUMINI WAKE


WAUMINI WAKISIKILIZA MAHUBIRI YS MCHUNGAJI TOKA KILIMANJARO-MOSHI


Mchungaji wa kanisa la kiluthel Tanzania toka Moshi Michael Macha  amekemea matumizi mabaya ya mavazi kwa vijana huku akiwataka wazazi kuwaalinda watoto wao ili wawe na maadili mema na kumtumikia Mungu.

Ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika kata ya Malangali wilayani Mufundi katika mkutano wa jimbo uliokutanisha waumini mbalimbali wa kanisa hilo na makanisa mengine uliofanyikia eneo la soko kuu la malangali mjini.

Aidha mchungaji Macha amesema kuwa waumini wa kikristo wanatakiwa kujihadhari na vitendo ambavyo vimekuwa vikishamili kwa sasa ya ukahaba na jinsia moja na kwamba jambo hilo ni la kumhasi Mungu.


No comments:

Post a Comment