Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Thursday, October 31, 2013

HALI YA USAFI KWA BAADHI YA MAENEO KATIKA HALMASHAURI YA MJI BADO IMEENDELEA KUHIMIZWA KWA WANANCHI LICHA YAKUWA WANANCHI WANAHITAJI MAWAKALA WA KUZOA TAKA HIZO WAWAJIBIKE IPASAVYO NA SI KUACHA TAKA ZIKIRUNDIKANA KWENYE VIZIMBA

 JE KUNA MADHARA YOYOTE WAKAZI WA PEMBENI WANAWEZA KUPATA  IKIWA TAKA ZITAZAGAA HOVYO LAKINI WAKATI MWINGINE WATOTO WAMEKUWA WAKIINGIA KWENYE MADAMPO HAYO NA KUOKOTA BAADHI YA VITU KWAAJILI YA KUCHEZEA

 WAKATI MWINGINE WANANCHI WENYEWE SI WASTAARABU BADALA YA KUTUPA TAKA NDANI YA KIZIMBA WAO WANATUPA NJE YA DAMPO NANI ALAUMIWE?
 BAADA YA KUONA TAKA HAZITOLEWI KWA MUDA MREFU BAADHI YA WANANCHI WAMEAMUA KUCHOMEA HAPOHAPO KWENYE VIZIMBA NA HAPA NA MTAA WA SIDO NYUMA YA UWANJA WA SABASABA.

Serikali kwa kushirikiana na taasisi wanatakiwa kushirikiana kutoa elimu juu ya usafi wa mazingira kila mtu ajali usafi

No comments:

Post a Comment