Licha ya jeshi la polisi kupiga marufuku kwa magari kuweka kituo eneo la Ruhuji lakini bado kuna baadhi ya madereva wa magari mbalimbali ya abiria na mizigo wanaendelea kupaki na kusubiria abiria eneo hili.
Na biashara ndogondogo zinaendelea eneo hili nihatari kwa usalama wa wafanyabiashara hao endapo magari yataendelea kuweka kituo kama cha kuchukulia abiria
HABARI ITAKUJIA HIVI PUNDE................
No comments:
Post a Comment