HII NDIYO HALI HALISI YA BAADHI YA BARABARA ZA IWAMBI JIJINI MBEYA |
HAYA TENA ENEO LINGINE LA IWAMBI VIFUSI HIVI SASA NI WIKI YA NNE 4 HAVIJASAMBAZWA JIJI MNALIONA HILI KAMA HAMPO TAYARI KUSAMBAZA KWANINI MNAPELEKA VIFUSI HUKO? |
WAHUSIKA HEBU WAJALINI WAKAZI WA IWAMBI WAMECHOKA SASA |
MBEYA YETU ITAENDA KUWAONA WAHUSIKA WA JIJI WAKAZI WA IWAMBI TUTAWAPA JIBU picha na Mbeya Yetu. |
No comments:
Post a Comment