Wednesday, May 29, 2013
WAFADHILI WA POKELEWA KWA MIKONO MIWILI LUPONDE
WAFADHILI WA MRADI WA MAJI NJILIKWA IGOLA TOKA NCHI YA HISPANIA WAKIWAKILISHWA NA SOFIA GORTAZAR MWAKILISHI WA SHILIKA LA MANOS UNIDAS LA HISPANIA.
WANANCHI WA KIJIJI CHA IGOLA WAKIUSHANGILIA UGENI TOKA HISPANIA
UZINDUZI WA MRADI WA MAJI NJILIKWA KIJIJI CHA IGOLA WAFANIKIWA VIZURI
VIONGOZI WA SHIRIKA LA IDEA LA IGOLA LILILOSIMAMIA MRADI HUO MPKA KUKAMILISHA KWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WA KIJIJI HICHO.
AFISA TAARAFA WA TAARAFA YA IGOMINYI AKIWA KIJIJI CHA IGOLA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment