Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Saturday, April 27, 2013

WANANCHI WA MITAA YA MPECHI NA JOSHONI WALALAMIKIA UWEPO WA MIUNDOMBINU DUNI YA BARABARA HASA BARABARA YA LUTILAGE KUELEKEA JOSHONI IMETENGENEZWA CHINI YA KIWANGO.






 MITARO IMETENGENEZWA UPANDE MMOJA MTARO MWINGINE HAUKUTENGENEZWA WAJIULIZA KWA NINI.



 BAADA YA MIAKA MITATU BARABARA HII ITAKUWAJE?










Hii ni mitaro ya maji kando ya barabara ya Lutilage kuelekea Joshoni hadi Melinze na hii ilijengwa kwa mawe na kokoto lakini hali yake ndiyo hii. Picha Na Michael Ngilangwa Habari kamili itakujia hivi punde.......................

No comments:

Post a Comment