Lissu agoma kutoka Nje ya Ukumbi bunge laahirishwa hadi kesho.
Hatua ya kuomba muuongozo mara kwa mara
kwa Tundu Lissu kumeonekana kumkera Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai hadi
kupelekea kumtoa Nje ya ukumbi kwa kuwaita Askari wamtoe Nje.
Hii imetokana na Tundu Lissu kuomba
muongozo akitaka kutoa taarifa wakati Mwigulu Nchemba akichangia hoja ya
Bajeti ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma.
No comments:
Post a Comment