Na Francis Godwin Iringa.
![]() |
Kaimu Meya wa manispaa ya Iringa Vitus Mushi (kushoto) akisalimiana na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa baada ya kutua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa |
![]() |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Teresia Mahongo akimpokea Lowassa |
![]() |
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa mwanahabari Tumain Msowoya akisalimiana na LOwassa |
![]() |
![]() |




kada wa CCM Bw Lazaro akisalimiana na Lowassa
![]() |
Mfanyakazi wa radio Overscomers Fm Adela kivamba akisalimia na Lowassa |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini Mendrady Kigola akijitambulisha mbele ya Lowassa |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akitoa neno mbele ya Lowassa kwa kuwataka viongozi wa serikali kujisahihisha kuwa mambo yanavyokwenda sivyo yanavyotakiwa kwenda |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola pacha wa Filikunjombe akinena jambo |
![]() |
Askofu wa OPC Iringa Dkt Boaz Sollo akimkabidhi tuzo ya heshima waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa leo katika ukumbi wa St Dominic |
No comments:
Post a Comment