Pages

CONTACT

0757092504/0678321772

Friday, February 8, 2013

HAGAFIRO FC YAIBUKA NA USHINDI KWA NJIA YA PENATI DHIDI YA TIMU YA MJIMWEMA FC.











Timu ya mjimwema fc  ndani yan uwanja wa sabasaba  kabla yakupokea kichapo na Hagafiro fc.
Hagafiro fc wakishangiria ushindi wa magori ya penati na kitita cha pesa tasilimu elfu hamsini.

Timu za mpira wa miguu za hagafiro fc na Mjimwema fc za chuana vikali katika uwanja wa sabasaba katika maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi kata ya Mjimwema ambapo katika mashindano hayo timu ya mjimwema fc iliangukia pua baada ya timu ya hagafiro0 fc kutoka na ushindi kwa njia ya penati.

Mchezo ulioanza saa kumi kamili uliwavuta mashabiki uwanjani hapo huku timu zote mbili zikitambiana na kuvutana kuwania ushindi na kupata zawadi ya shilingi elfu hamsini zawadi zilizoandaliwa na mjumbe wa kamati ya siasa wa halmashauri kuu ya wilaya ya Njombe  Christian Fwalo.

Baada ya timu hizo  kumenyana uwanjani hapo katika kipindi cha kwanza hakupatikana  mshindi wote walionekana kufanana uwezo hali iliyopelekea muamzi kuweka mpira katika  baada ya dakika tisini kumalizika bila mshindi kupatikana.

Zoezi la penati likaanza na ndipo  timu ya Hagafiro fc  kucvhomoka na ushindi kwa njia ya penati na kutoka na kitita cha pesa tasilimu shilingi elfu hamsini huku mshindi wa pili mjimwema fc akitoka na shilingi elfu ishilingi  kama pongezi kwa kushiliki mashindano hayo na kuadhimisha sherehe za kutimiza  miaka 36 ya  kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi.

Katika hatua nyingfine maadhimisho ya kutimiza miakqa 36 ya  kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi  yaliahamasisha michezo mbalimbali ikiwemo michezo ya pulltable,drafti ambapo vijana mbalimbali walipata fursa yakuburudika  kimuchezo.

Lukas Ndifwa ni katibu wa chama cha mpira wa miguu wilaya ya Njombe aliwapongeza waadau wa michezo kwa kuhamasisha michezo kupiotia mashindano  yanayowekwa  kwa kushilikiana na viongozi wa chama cha mpira wilaya ya Njombe na kusema kuwa kufuatia hamasa iliyop;o itapelekea michezo Njombe kuwa mstari wa mbele nchi.
Aliwataka pia vijana wengine hususani wa maeneo ya vijijini pamoja na timu hizo zililzoshiliki mashindano hayo kujisajili katika ligi ya taifa ngazi ya wilaya ifikapo mwaka 2014 kwani zinauwezo mkubwa wa kushiliki mashindano hayo.


No comments:

Post a Comment