WANANCHI WA KIJIJI CHA NGAMANGA KATA YA UTENGULE WAKIWA KWENYE MKUTANO WA KUJADILI UJENZI WA HOSTEL HIYO KUPUNGUZA MIMBA KWA WANAFUNZI .
AFISA MTENDAJI WA KATA JOB FUTE AKIHIMIZA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI HUO.
MATUKIO NA NGILANGWA MICHAEL:
Friday, July 13, 2018
KAMPENI YA FURAHA YANGU KUZINDULIWA JUMANNE MKOANI NJOMBE
Monday, May 21, 2018
JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE LA MSHIKILIA KIJANA MMOJA ALIYEJIFANYA IGP SIRRO KUTAPELI WANANCHI
KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE SACP RENATA MZINGA AKIWAONESHA WAANDISHI MTUHUMIWA HUYO.
MTUHUMIWA ALIYEJIFANYA IGP SIRO KUTAPELI MALI ZA WANANCHI NJOMBE AKAMATWA NA POLISI KWA MAHOJIANO ZAIDI.
HUYU NDIYE MARICHA MARICHA MNIKO MWENYE UMRI WA MIAKA 30 MKURYA MKAZI WA TANDALA MAKETE AMBAYE NI DEREVA AKIWA CHINI YA POLISI MKOA WA NJOMBE.

Sunday, March 18, 2018
HABARI ZA WIKI NI BAADA YA MKUU WA MKOA KURUHUSU BAJAJI KUENDELEA NA KAZI MADEREVA WA DALADALA WAKATIKISA KIBERITI KAMA KIMEJAA LAKINI WAREJEA KAZINI WENYEWE.
MKUU WA MKOA WA NJOMBE CHRISTOPHA OLE SENDEKA AMESEMA WAMILIKI NA MADEREVA WA DALADALA WANATIKISHA KIBERITI KAMA KIMEJAA NA KUWAAMURU WARUDI BARABARANI KWA ATAKAYEGOMA ATAFUTIWA LESENI YA BIASHARA ZAKE ZOTE MKOA WA NJOMBE
KWA MSISITIZO MKUBWA WAKISIKILIZA HOJA ZA WAMILIKI ZA KWAMBA BAJAJI HAWAKO KISHERIA JAMBO AMBALO MKUU WA MKOA AMESEMA HATEGEMEI KUONDOA USAFIRI WA BAJAJI BARABARANI ISIPOKUWA KUONGEZA 45 ZIWE 100 DALADALA WAOMBA MSAMAHA ASIONGEZE NYINGINE .
WAMILIKI WA DALADALA MKOA WA NJOMBE WAKIWA KATIKA KIKAO NA MKUU WA MKOA WA NJOMBE CHRISTOPHA OLE SENDEKA BAADA YA KUGOMA KUFANYA KAZI MALALAMIKO YAO YAMESIKILIZWA LAKINI BADO MAAMUZI HAYAJACHUKULIWA HADI KAMATI ALIYOIUNDA MKUU WA MKOA IKUTANE NA ASIWEPO MTU WA KUFIKILIA KUZIONDOA BAJAJI BARABARANI.
MADEREVA DALADALA WAKITOKA NJE BAADA YA MKUU WA MKOA KUTOA MAAMUZI YAKE SASA WANATOKA KWENDA KUFANYA KIKAO CHAO CHA KURUDI BARABARANI.
NJOMBE
Mkuu Wa Mkoa Wa Njombe Christopha Olesendeka Amepiga Marufuku Kuwepo Kwa Migomo Ya Wamiliki Wa Usafiri Aina Yoyote Ile Kwamba Kwa Atakayebainika Kufanya Mgomo Atafutiwa Leseni Ya Biashara Yake.
Kauli Ya Mkuu Wa Mkoa Wa Njombe Olesendeka Imetolewa Kufuatia Wamiliki Wa Daladala mjini Njombe Kugoma Kusafirisha Abiria Kushinikiza Kuondolewa Kwa Usafiri Wa Pikipiki Za Magurudumu Matatu Maarufu Kama Bajaji Ambazo Zimeruhusiwa Kuendelea Kutoa Huduma Hivi Karibuni.
Olesendeka Amesema Kitendo Walichofanya Wamiliki Wa Magari Aina Ya Hice Cha Kugoma Kufanya Kazi Hajaridhishwa Nacho Nakwamba Atakayebaini Kuendekeza Migomo Na Maandamano Hatua Kali Zitachukuliwa Dhidi Yake Ikiwa Ni Pamoja Na Kufutiwa Leseni Za Biashara.
Baada Ya Mkuu Wa Mkoa Kusema Asiwepo Mtu Yeyote Atakaye Kuwa Na Mawazo Ya Kuziondoa Bajaji Barabarani Mwenyekiti Wa Wamiliki Wa Daladala Peter Haule Ameshukuru Kwa Maamuzi Na Kusema Wako Tayari Kufuata Utaratibu Utakao Kuwepo.
Nao Wamiliki Wa Daladala Walipopewa Nafasi Ya Kutoa Maoni Na Mapendekezo Yao Wamesema Bajaji Zinawamalizia Abiria Wote Walioko Mjini Ikiwa Wao Wanasafiri Umbari Mrefu Wa Kilomita 18 Kwa Shilingi Mia Nne Huku Bajaji Wanasafiri Umbali Wa Kilomita Tatu Kwa Shilingi Mia Tano .
Daladala Zimeamuliwa Kuendelea Na Kazi Hadi Mwafaka Wao Na Bajaji Na Bodaboda Utakapo Patikana Bila Kuwepo Mtu Wa Kushindwa Kufanya Kazi Ya Kutoa Huduma Ya Usafiri Kwa Abiria Katika Maeneo Yao.

RC NJOMBE AREJESHA BAJAJI BARABARANI, DALADALA WAKASILIKA
WAMILIKI NA MADEREVA WA BODABODA NA BAJAJI WAKIWA KWENYE MKUTANO WA KUREJESHWA KWA BAJAJI BARABARANI
MKUU WA MKOA WA NJOMBE CHRISTOPHA OLE SENDEKA AKIWASILI KATIKA UKUMBI WA TURBO MJINI NJOMBE KUWASIKILIZA KERO MADEREVA NA WAMILIKI WA PIKIPIKI ZA MAGURUDUMU MAWILI NA MATATU BAJAJI
TAZAMA MABANGO MBALIMBALI YA KERO HAPA CHINI NI KERO ZA BODABODA NA BAJAJI ZIKIWASILISHWA KWA MKUU WA MKOA WA NJOMBE.
NJOMBE
Hatimaye Sakata La Kuzuiliwa Kwa Bajaji Zisifanye Kazi Katika Barabara Kuu Limepatiwa Ufumbuzi Na Mkuu Wa Mkoa Wa Njombe Christopha Ole Sendeka Baada Ya Kuruhusu Bajaji Hizo Kuendelea Kufanya Kazi Kama Kawaida.
Ole Sendeka Pia Ameruhusu Wamiliki Wa Bajaji Na Wadau Wengine Wa Usafiri Kuongeza Bajaji Nyingine Arobaini Na Tano Ili Kufikisha Idadi Ya Bajaji 100 Tofauti Na Ilivyo Kwa Sasa Ambapo Bajaji 55 Pekee Ndizo Zinazofanya Kazi.
Bwana Sendeka Amesema Ofisi Yake Ipo Wazi Kuanzia Sasa Kwaajili Ya Kusikiliza Malalamiko Na Kero Za Madereva Bodaboda Na Bajaji Na Kuagiza Kuwa Asiwepo Kiongozi Yeyote Wa Kuwasumbua Kwa Kuwataka Wapaki Nje Ya Mji Siwepo Hali Hiyo.
Katika Hatua Nyingine Sendeka Ametumia Fursa Hiyo Kukemea Tabia Ya Kufanya Maandamano Yasiyo Rasmi Na Kusema Vijana Wasijaribu Kufanya Kazi Hiyo Kwani Serikali Haitalifumbia Macho Swala Hilo.
Awali Mwenyekiti Wa Bajaji Barnaba Mwangi Amesema Changamoto Kubwa Wanayokabiliwa Nayo Ni Kufukuzwa Kwenye Barabara Kuu Na Wanaosababisha Ni Wamiliki Wa Dalala Ambao Wanataka Wafanye Wao Biashara Ya Kusafirisha Abiria Huku Mwenyekiti Bodaboda Filemon Mwinuka Naye Akilia Na Tozo Mbalimbali Zinazotozwa.
Kwa Upande Wao Wamiliki Wa Bajaji Wakizungumza Kwa Fuaha Wamemshukuru Mkuu Wa Mkoa Kwa Juhudi Alizofanya Na Kusema Amejali Huduma Zinazotolewa Na Vyombo Hivyo Na Kutaka Viongozi Wengine Kuiga Mfano Huo.

Subscribe to:
Posts (Atom)