Mhandisi
Mkuu kutoka Shirika la Reli (TRL), Mhandisi Nelson Ntejo akitoa maelezo
kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
(kulia) kuhusu maendeleo ya kazi ya ukarabati wa eneo lililoathiriwa na
mvua kubwa zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka, katika eneo la Kilosa mkoani
Morogoro, wakati Waziri huyo alipokagua reli hiyo Mkoani humo, hivi
karibuni.
No comments:
Post a Comment