picha ya pamoja na mkurugenzi wa Mapao Wilaya Ya Makete Mch.Denis Sinene Baada ya Kutoa Semina Kuhusiana Na Umuhimu wa Kutumia vyombo vya habari katika kufikisha ujumbe kwa jamii Juu Ya Uwepo Wa Wasaidizi Wa Kisheria Katika maeneo Yao na hapa ni Nyombo Wilaya YA Njombe.
MSAIDIZI WA MSAADA WA KISHERIA WILAYA YA NJOMBE MAULAGA MWINAMI AKIWA NA MKURUGENZI WA MAPAO AMBAYE ALIKUWA ANATOA ELIMU JUU YA UMUHIMU WA VYOMBO VYA HABARI KUFIKISHA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA.
KATIBU WAKE MWINAMI WA MSAADA WA KISHERIA WILAYA YA NJOMBE
AFISA MAENDELEO YA JAMII WILAYA YA NJOMBE CASIAN NKUNGA AKIZUNGUMZA NA WASAIDIZI WA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI HUMO.
MKURUGENZI WA MAPAO WILAYA YA MAKETE AKIFIKISHA UJUMBE WILAYANI NJOMBE JUU YA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI NA UWAJIBIKAJI WAKE.
HAPA NI PICHA YA PAMOJA BAADA YA SEMINA KUTOLEWA WILAYANI NJOMBE
No comments:
Post a Comment