Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpongeza Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage mara
baada ya kufungua kiwanda cha Victoria molders and polybags kilichopo
Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono mafundi wa Kiwanda cha Victoria molders and polybags
mara baada ya kutengeneza Tanki la kuhifadhia maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiangalia utengenezaji wa viti vya plastiki katika kiwanda cha
Victoria molders and polybags katika eneo la Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia mfuniko uliotengenezwa katika kiwanda hicho cha Victoria
molders and polybags Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Meya ya jiji la Mwanza James Bwire mara baada ya
kufungua kiwanda cha Victoria molders and polybags Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifungua kiwanda cha madawa cha Prince Pharmaceuticals
kilichopo Buhongwa nje kidogo jijini Mwanza. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika eneo
la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza.
Wananchi wa Butimba na Mkuyuni wakifurahi
wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
alipokuwa akizungumza nao katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea
Igogo jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment