Mkuu
mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge (kushoto) akipokea
taarifa ya Makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo
Ndg. Jordan Rugimbana Oktoba 30, 2017.
Mkuu
mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge (kushoto) na aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa huo Ndg. Jordan Rugimbana wakitiliana saini taarifa ya
Makabidhiano ya ofisi Oktoba 30, 2017.
Picha
ya pamoja kati ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Jordan Rugimbana
na Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge mara baada ya
kukamilika kwa tukio la Makabidhiano ya ofisi baina yao Oktoba 30, 2017
Picha
ya pamoja kati ya Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge
na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ndg. Jordan Rugimbana pamoja na wajumbe
wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dodoma mara baada ya
kukamilika kwa tukio la Makabidhiano ya ofisi baina ya Ndg. Rugimbana na
Dr. Mahenge Oktoba 30, 2017.




No comments:
Post a Comment