Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsalimiana na viongozi waandamizi
na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili Ikwiriri Mkoani Pwani kwa lengo la
kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilaya zote mbili za Ikwiriri na
Kibiti.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa operesheni
maalum za Jeshi hilo, DCP Liberatus Sabas alipowasili Ikwiriri mkoani
Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilayay zote
mbili za Ikwiriri na Kibiti. Kulia ni Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa
ya Jinai, DCI Robert Boaz.
Baadhi
ya milipuko 16, Visu 96 na mbolea ya chumvi inayotumika katika
kuchanganyia milipuko ikiwa imekamatwa Mkoa wa Mtwara kufuatia
operesheni zinazoendelea za jeshi la Polisi. Picha na Jeshi la Polisi



No comments:
Post a Comment