Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Meneja mradi katika Kanda ya Afrika Mashariki katika
Kampuni ya ETG inayoendesha Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Nd,Tushar
Mehta alipofanya ziara ya kutembelea Kiwanda hicho leo katika Wilaya ya
Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Meneja wa Mawasiliano katika Kiwanda cha Sukari cha
Mahonda Fatma Salum Ali (kulia) wa Kampuni ya ETG inayoendesha Kiwanda
hicho wakati alipofanya ziara ya kutembelea Kiwanda hicho leo katika
Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Ali Abeid Karume wakati
alipowasili katika ukaguzi wa maendeleo ya Kiwanda cha Sukari cha
Mahonda na kupata maelezo mbali mbali kutoka kwa Wasimamizi wa Kiwanda
hicho Kampuni ya ETG alipofanya ziara katika Wilaya ya Kaskazini "B"
Mkoa wa Kaskazini Unguja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Meneja mradi katika Kanda ya
Afrika Mashariki katika Kampuni ya ETG inayoendesha Kiwanda cha Sukari
cha Mahonda Ndg. Tushar Mehta (wa pili kushoto) alipofanya ziara ya
kutembelea na kuangalia maendeleo ya Kiwanda hicho leo katika Wilaya ya
Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa mradi
katika Kampuni ya ETG inayoendesha Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Bw.
Mahesh Patel (kushoto) wakati alipofanya ziara ya kutembelea na
kuangalia maendeleo ya Kiwanda hicho leo katika Wilaya ya Kaskazini "B"
Mkoa wa Kaskazini Unguja,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed.
Picha na IKULU





No comments:
Post a Comment